Kuna Ukweli Wa Taarifa Za Mbappe Kwenda Real Madrid?

Tetesi za kusadikika zinasema kwamba uwezekano mkubwa upo kwa Mshindi wa Paris St-Germain na kombe la Dunia Kylian Mbappe, mwenye umri wa miaka 20, atajiunga na Real Madrid.

Tukisalia hapo kiungo wa kati wa Real Madrid -Fede Valverde, raia wa Uruguay mwenye umri wa miaka 21, amesaini mkataba utakaomuwezesha kuendelea kubaki katika klabu hiyo hadi mwaka 2025 wenye kipengele kinachomruhusu kuondoka kwa pauni £640m.


EmoticonEmoticon