Ukaribu Wa Drake, Kylie Jenner Wazidi kupamba Moto

Drake Na Kylie Jenner
Drake na Kylie Jenner wana mahusiano ya zaidi ya Urafiki kwa kila mmoja. Mwezi uliopita iliripotiwa kwamba wawili hao wanatumia muda wao kwa kutoka pamoja tangu aweke wazi kutengana na Travis Scott.

Sasa mtandao wa Us Weekly umeripoti kwamba sasa ndio mambo yamekuwa moto na wote wanaoneshana hisia za mapenzi.

"Drake siku zote amekuwa na hisia kwa Kylie na ni kwa wote. Mitoko yao ya hapa na pale imeongezeka zaidi kwa siku za hivi karibuni kwa sababu Kylie tayari amejianika kama Single! hivyo Ukaribu wao umeongezeka." Kilisema chanzo hicho.


EmoticonEmoticon