Papai likiwa bichi au halijaiva vizuri linakua na kitu
kinaitwa latex ambacho kinaweza kusababisha mji wa mimba ( uterus) kusinyaa na
kupelekea kuharibika kwa mimba.
Ila lililoiva halina hiki kitu na ni safe
kutumia wakati wa ujauzito. Na viazi vitamu havina shida.
EmoticonEmoticon