VIDEO | Camila Cabello - Living Proof (Official Video)

Living Proof Video
Watch/Stream Living Proof Video By Camila Cobello

Hii ni baada ya kufanya vizuri na album ya Camila Last Year na ikafanikiwa kuzaa matunda, Right now ameileta single mpya video Living Proof. Ngoma hii itapatikana kwenye Album yake ya pili, 'Romance' inayotegemewa kuingia sokoni Disemba 6 mwaka huu. Alan Ferguson ameongoza video ya wimbo huu.


EmoticonEmoticon