VIDEO | Kanye West - Closed On Sunday (Official Video)

Watch/Stream Closed On Sunday Video By Kanye West 

Closed On Sunday inapatikana ndani ya Jesus Is King Album ambayo ina ngoma 11 toka kwa Kanye West ambayo aliiachia ndani ya mwaka huu na ikafanikiwa kuuza mauzo mazuri kwa week ya kwanza na kuiwezesha kukamata nafasi ya kwanza kwenye album 200 bora za Billboard.


EmoticonEmoticon