VIDEO | Young Dee ft Jay Moe & Mr Blue - JAJIMENTO (Official Video)

Jajimento Video By Young Dee
Watch/Download Jajimento Video By Young Dee Featuring Mr Blue & Jay Moe


Baada ya kutoka Unyamwezini mbele, Young D ametudondoshea video yake ya kwanza Jajimento akiwa na Byser pamoja na Jay Moe. Unafikiri kuna jambo gani limebadilika kwake ndani ya hii video toka ametoka huko? Tazama video hapo chini iliyoongozwa na Msafiri toka Kwetu Studio.DOWNLOAD VIDEO|MP4

DOWNLOAD AUDIO|MP3


EmoticonEmoticon