Washindi Wa Tuzo Za AFRIMA 2019, Tanzania Yaondoka Na Tuzo Moja

Usiku wa kuamkia Nov 24 zimefanyika Tuzo za 6 za AFRIMA mjini Lagos Nigeria ambapo tumeshuhudia mastaa kibao wa muziki wa Afrika wakipewa tuzo kwa kazi zao nzuri kwa mwaka 2019.

Katika tuzo hizo za mwaka huu ambapo mkongwe 2 Face (2 Baba) ametunukiwa tuzo ya heshima, Majina ya wasanii wa Afrika Magharibi kwa maana ya Nigeria na Ghana ndio yametawala huku Afrika Kusini wakizibeba pia za kutosha. 

Kwa upande wa Afrika Mashariki, Kenya wamewakilishwa vyema na Sauti Sol huku Tanzania akiibeba Director Kenny Pekee.

ORODHA YA WASHINDI
Best Female Artist in Western Africa
• Tiwa Savage - Nigeria

Best Male Artist in Western Africa
• Burna Boy - Nigeria

Best Artiste, Duo or Group in African Pop
• Joeboy - Nigeria

Best African DJ
• DJ Spinall - Nigeria

Artist of The Year in Africa
• Burna Boy - Nigeria

Best Artist, Duo or Group in African Contemporary
• 2Baba - Nigeria

Best Male Artist in Eastern Africa
• Khaligraph Jones - Kenya

Best Female Artist in Eastern Africa
• Nikita Kering - Kenya

Best Male Artist in Southern Africa
• Sjava - South Africa

Best Female Artist in Southern Africa
• Nadia Nakai - South Africa

Album of the Year in Africa
• Afrikan Sauce – Sauti Sol (Kenya)

Best African Collaboration
• Nasty C (South Africa) – ‘SMA’ ft. Rowlene

Best African Duo, Group or Band
• Sauti Sol (Kenya)

Best Artist, Duo or Group in African Hip Hop
• Nadia Nakai (South Africa)

Best Video Director Of The Year
• Director Kenny - Tanzania

Best African Rapper/Lyricist
• Nasty C - South Africa


EmoticonEmoticon