Comedian Wanaongiza Mkwanja Mrefu Duniani Kwa Mwaka 2019

Kevin Hart
Mwendesha kipindi na mwigizaji kutoka Afrika Kusini Trevor Noah ni miongoni mwa waigizaji 10 bora wanaolipwa kitita kikubwa cha pesa duniani kulingana na jarida la Forbes.
Trevor Noah
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 35 alitia mfukoni shilingi bilioni 2.8 mwaka wa 2018.
Ifuatayo ni orodha ya waigizaji wengine wanaovuna donge nono kutokana na taaluma hii ya uigizaji :
1. Kevin Hart ($59 million)
2. Jerry Seinfeld ($41 million)
3. Jim Gaffigan ($30 million)
4. Trevor Noah ($28 million)
5. Sebastian Maniscalco ($26 million)
6.Gabriel Iglesias ($22 million)
7. Amy Schumer ($21 million)
8. Terry Fator ($17 million)
9. Jeff Dunham ($15 million)
10. Aziz Ansari ($13 million)


EmoticonEmoticon