Droo Ya Michuano Ya UEFA Yakamilika, Ipo Hapa

Droo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu sana ya michuano ya klabu bingwa barani Ulaya UEFA tayari imekamikilika na kila timu imemfahamu mpinzania wake.

Katika moja ya timu iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu sana Liverpool ikiwa kama bingwa mtetezi imepangiwa na timu moja ya Uhispania ambayo ni Atletico Madrid lakini pia timu nyingine ya Uingereza iliyopangiwa timu kutoka Uhispania ni Manchester City wakipangiwa na mabingwa wa michuano hiyo wa kihistoria Real Madrid.
Mbali na hizo Chelsea pia imepangiwa timu kutoka Ujerumani ambayo ni tishio sana ambayo iliifunga timu kutoka Uingereza Tottenham kwa jumla ya goli 10 kwa 3 kwa mchezo wa kwanza ambao ulifanyika London Baryen Munich iliibuka na ushindi wa goli 7-2 na mchezo wa pili ikiibuka na ushindi wa goli 3-1.


EmoticonEmoticon