Hawa Ndio Watengenezaji Bora Tanzania Wa Furniture Za Kisasa Kwa Majumbani Na Maofisini.Usikubali Kupitwa, Kuwa Wa Kisasa

Usijiulize tena ni wapi unaweza kujipatia Furniture za uhakika na uimara wa kudumu kwa muda mrefu kwani Wapamba Furniture wamekuja na jibu la swali lako ambalo litaifanya nyumba yako kupendeza na kuonekana ya kisasa kwa gharama ndogo ambayo kila mtanzania anaweza kuimudu.
Wapamba Furniture wanatengeneza Furniture za aina Majumbani na Maofisinoi.

Ni wafanyabiashara wa kuaminika kwani wamewanufaisha wengi na pia wamefanya kazi kwenye maofisi makubwa ya kiserikali.
Kabati la kisasa kwaajili ya kuhifadhia vitu vyako
Vifaa vyao ni vya kisasa kwa mwaka 2020
Wanapokea Oda za Saloon za aina zote
Nyumba yako itaonekana ya kisasa baada ya kupata Furniture zao
Hawakosei wanaposema kwamba product zao ni za kisasa
Droo Mpya Ya Kisasa 2019/2020
WANAPOPATIKANA:
Keko Dar es Salaam
Charambe Maji Mititu Karibu Na Kituo Kidogo Cha Polisi
Dar es Salaam Tanzania

MAWASILIANO:
Phone/Call: 0623 164225
Whatsapp: 0712 242452
Instagram: Wapamba_Furniture (Bonyeza maneno mekundu)