Heshima Kubwa Grammy Itakayompatia P Diddy 2020 Ndyo Hii

Diddy
Mkongwe wa Rap Diddy kupokea tuzo ya heshima (Salute to Industry Icons) ambayo hutolewa na Grammy kwa msanii ambaye amefanikiwa kuleta mchango mkubwa kwenye kiwanda cha muziki.

Diddy atatunukiwa tuzo hiyo (January 25, 2020) kwenye hafla itakayofanyika siku moja kabla ya ugawaji wa tuzo za 62 za Grammy.


EmoticonEmoticon