Hukumu Rasmi Ya Takeshi 6ix9ine Yatangazwa, Ahukumiwa Kwenda Jela Miaka.....

Rapper Tekashi 6ix9ine amehukumiwa kwenda Jela miaka 2. Hukumu hiyo imesomwa mahakamani mjini Manhattan jioni hii.

Tekashi 69 alikamatwa mwezi November 2018 kwa makosa ya kujihusisha na magenge ya Uhalifu pamoja kmmiliki silaha kinyume cha sheria. 

Adhabu yake ilikuwa ni miaka 47 baadaye ikapunguzwa hadi 37 baada ya kufutiwa shtaka la silaha.

Lakini amehukumiwa miaka hiyo miwili kutokana kutoa ushirikiano mzuri kwa waendesha mashtaka. Tayari ametumikia miezi 13, hivyo atatoka Jela mwishoni mwaka 2020


EmoticonEmoticon