Juicy J Kuomba Radhi Baada Ya Kauli Ya Vic Mensa

Juicy J
Rapper Juicy J ameomba radhi kwa kila mmoja ambaye anahisi kwa kupitia nyimbo zake alimshawishi kutumia dawa za kulevya.
Juicy J Tweet
Hii imekuja baada ya rapper Vic Mensa kuwatupia lawama wasanii wa Hip Hop kwa nyimbo zao kuchangia katika kuharibika kwa vijana wengi na kutumbukia kwenye kadhia ya utumizi wa dawa za kulevya.
Vic Mensa


EmoticonEmoticon