Kibarua Cha Marco Silva Chaota Nyasi, Maamuzi Ya Evarton

Club ya Everton leo imetangaza rasmi kumfuta kazi aliyekuwa kocha wake mkuu Marco Silva kufuatia kipigo cha 5-2 walichokipata dhidi ya Liverpool ugenini katika uwanja wa Anfield usiku wa December 4 2019.
Uongozi wa Everton umechukua maamuzi hayo kufuatia kuona timu yao inazidi kuyumba hqfi sasa ikiwa imecheza game 15 za EPL wakiishia kushika nafasi ya 18 katika Ligi Kuu England inayoshirikisha jumla ya timu 20.
Katika michezo hiyo 15 Everton ikiwa chini ya utawala wa kocha Marco Silva wameshinda game 4, sare mechi 2 na wamepoteza mechi 9 wakiwa na point 11.


EmoticonEmoticon