Kwa Mara ya Kwanza Mpenzi Mpya Wa Vanessa Mdee Atua Tanzania

Muimbaji Vanessa Mdee ametua nchini Tanzania na mpenzi wake Rotimi kwa mara ya kwanza toka walipoanza uhusiano wa kimapenzi ulivyothibitishwa.


Wawili hao wanatarajia kufanya show ya pamoja usiku wa leo December 31 kwenye mkesha wa Mwaka mpya na hii itakuwa ni show yao ya kwanza itakayofanyika katika ukumbi wa Velisa’s Jijini Dar es Salaam.


EmoticonEmoticon