Lil Wayne Bado Yupo Fit Kwenye Game, Atangaza Kushusha Mzigo Mwingine Karibuni

Hatimaye Lil Wayne ametupa matumaini mapya ya ujio wa album yake mpya "Funeral" ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa muda sasa.
Kupitia instagram Wayne amemjibu shabiki mmoja DM ambaye alimuuliza kwamba ni lini album hiyo itatoka? Wayne alimjibu mwezi February. "Feb my G"


EmoticonEmoticon