Liverpool Wailivyosherehekea Kuibuka Na Ubingwa (PICHA)

Usiku wa December 21 nchini Qatar ulichezwa mchezo wa fainali ya Michuano ya Club Bingwa Dunia iliyokuwa inazikutanisha timu za Liverpool ya England dhidi ya Flamengo ya Brazil.
Mchezo huo uliolazimika kuchezwa kwa dakika 120 baada ya 90 kumalizika 0-0, uliamuliwa na mchezaji wa Kibrazil Robert Firmino aliyowafunga Flamengo dakika ya 99 na kuipa Ubingwa wa Dunia Liverpool kwa ushindi wa 1-0.


EmoticonEmoticon