Msaada Alioutoa Cardi B Baada Ya Kuzuru Nigeria

Ukiachana na perfomance kubwa ambayo aliiangusha nchini Nigeria Wikendi iliyopita, Cardi B hajaondoka hivi hivi nchini humo.
Ametembelea kituo cha watoto yatima mjini Lagos Nigeria na kutoa msaada wa Maji, Taulo za watoto (Diapers) na mahitaji mengine ya wanawake na wasichana.


EmoticonEmoticon