Mwaka Wa Messi, Ampiku Tena Cristiano Ronaldo Kwa Mara Nyingine

Messi & CR7
Mshambuliaji Lionel Messi akionyesha tuzo yake mpya ya Ballon d'Or kabla ya mechi ya La Liga na Mallorca Uwanja wa Nou Camp jana ambayo Barcelona ilishinda 5-2 huku yeye akipiga hat-trick na kumpiku Cristiano Ronaldo kwa kufunga hat trick nyingi kwenye La Liga (35-34)
Leo Messi
Messi alifunga mabao yake dakika za 17, 41 na 83, wakati mengine yalifungwa na Antoine Griezmann dakika ya saba na Luis Suarez dakika ya 43, huku ya Mallorca yakifungwa na Ante Budimir dakika ya 35 na 64.


EmoticonEmoticon