Neymar Atoa Ya Moyoni PSG, Man U Kubadili Mawazo Juu Ya Pogba

Neymar Jr
Mshambuliaji wa Brazil Neymar, 27, amesema kuwa "anaridhika" kuwa Paris St-Germain, licha ya kutaka kuhama klabu hiyo ya Ufaransa mwanzo wa msimu. 

Upande mwingine, Manchester United haitamuuza kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 26, dirisha la uhamisho wa wachezaji litakapofunguliwa mwezi Januari.

Tukisalia hapo, Manchester United inaamini kuwa itafanikiwa kumsajili winga wa Borussia Dortmund Jadon Sancho, 19, mwezi ujao na huenda pia wakasaini kiungo wa kati wa Tottenham na Denmark Christian Eriksen, 27.


EmoticonEmoticon