Orodha Ya Nyimbo Na Wasanii Wanaosikilizwa Zaidi Duniani Kote Imetufikia 2019

Drake ndio mwanamuziki ambaye muziki wake umesikilizwa Zaidi duniani kuanzia mwaka 2010 mpaka 2019, hivyo kwa ujumla nyimbo zake zimesikilizwa mara bilioni 28.

Huku Shape of you wimbo wa Ed Sheeran ndio wimbo uliosikilizwa Zaidi kuanzia 2010 mpaka sasa na kufikia Zaidi ya bilioni 2.4. Hii ni kwa kupitia mtandao wa Spotify.

Orodha Kamili Ipo Hapo Chini


Wanamuziki Waliosikilizwa Zaidi 2010-2019
1. Drake
2. Ed Sheeran
3. Post Malone
4. Ariana Grande
5. Eminem
Wanamuziki Wa Kike Waliosikilizwa Zaidi 2010-2019
1. Ariana Grande
2. Rihanna
3. Taylor Swift
4. Sia
5. Beyoncé
Wanamuziki Wa Kiume Waliosikilizwa Zaidi 2010-2019
1. Drake
2. Ed Sheeran
3. Post Malone
4. Eminem
5. The Weeknd
Nyimbo Zilizosikilizwa Zaidi 2010-2019
1. “Shape of You” – Ed Sheeran
2. “One Dance” – Drake, Kyla, WizKid
3. “rockstar (feat. 21 Savage)” – 21 Savage, Post Malone
4. “Closer” – Halsey, The Chainsmokers
5. “Thinking out Loud” – Ed Sheeran
Wanamuziki Waliosikilizwa Zaidi 2019
1. Post Malone
2. Billie Eilish
3. Ariana Grande
4. Ed Sheeran
5. Bad Bunny
Album zilizosikilizwa Sana Mwaka 2019
1. WHEN WE ALL FALL ASLEEP, WHERE DO WE GO? – Billie Eilish
2. Hollywood’s Bleeding – Post Malone
3. thank u, next – Ariana Grande
4. No.6 Collaborations Project – Ed Sheeran
5. Shawn Mendes – Shawn Mendes
Nyimbo zilizosikilizwa Sana Mwaka 2019
1. “Señorita” – Camila Cabello, Shawn Mendes
2. “bad guy” – Billie Eilish
3. “Sunflower” – Post Malone, Swae Lee
4. “7 Rings” – Ariana Grande
5. “Old Town Road – Remix” – Lil Nas X, Billy Ray Cyrus
Wanamuziki Wa Kike Aliyesikilizwa Sana Mwaka 2019
1. Billie Eilish
2. Ariana Grande
3. Taylor Swift
4. Camila Cabello
5. Halsey
Wanamuziki wa Kiume Aliyesikilizwa Sana 2019
1. Post Malone
2. Ed Sheeran
3. Bad Bunny
4. Khalid
5. J Balvin


EmoticonEmoticon