Penzi La YG Na Kehlani Laota Mbawa

Penzi la YG na Kehlani limefikia ukomo, ni baada ya taarifa za usaliti mwezi uliopita ambapo rapper huyo alifumwa akimpiga Kiss hadharani mwanamke mmoja akiwa kwenye gari.

Kehlani amejitangaza kuwa SINGLE jana kupitia twitter ambapo alikuwa akijibu tetesi za kutoka kimapenzi na Tory Lanez ambaye picha zao zilitapakaa kwenye mitandao ya kijamii na kuanza kuhisiwa kuwa pamoja;

"Because I keep seeing this. I'm addressing it. Absolutely not. We made a song for my album. I am Single and focused. Leave the rumours for poorly paid bloggers." Aliandika Kehlani na kufuta. Ni miezi mitatu tu tangu wawili hao waanike wazi penzi lao.


EmoticonEmoticon