Pochettino Apewa Ushauri Wa Kutokimbilia Arsenal, Faini ya £12.5m Itamkabili Endapo....

Mauricio Pochettino
Mkufunzi wa zamani wa Tottenham Mauricio Pochettino, ambaye amehusishwa na tetesi za kujiunga na Manchester United na Arsenal, atalazimika kulipa faini ya £12.5m akikubali kuajiriwa katika ligi ya Premia msimu huu
Pochettino ameshauriwa kutokimbilia kazi ya usimamizi katika klabu ya Arsenal na marafiki zake ambao wanaamini anaweza kupata kazi nzuri zaidi.

iLa kuna tetesi inayosema kwamba Arsenal huenda ikasubiri hadi msimu ujao kumsajili mkufunzi Brendan Rodgers, lakini kocha huyo wa Leicester anachukulia nafasi ya Gunners kama kazi ya ndoto yake


EmoticonEmoticon