Quavo Wa Migos Athibitisha Kuandaa Filamu Yake Ya Kwanza

Quavo
Rapper Quavo wa Migos amejitosa rasmi kwenye tasnia ya filamu na ametudokeza juu ya ujio wa filamu yake mpya aliyoiongoza iitwayo "The Resort" kupitia twitter ameandika.

Filamu hiyo ya kutisha (horror) imechezwa na kutengenezwa na Quavo. Bado hajaiweka wazi tarehe rasmi ya kuiachia lakini ametuahidi kuwa ni hivi karibuni.


EmoticonEmoticon