Rihanna Adokeza Mashabiki Kuhusiana Na Ujio Wa R9

Rihanna
Rihanna amefunguka na kuwaweka wazi mashabiki zake kuhusu album yake ijayo "R9" ikiwa imepita miaka minne tangu aidondoshe ANTI.

Usiku wa kuamkia Disemba 23 kwenye ukurasa wake wa instagram ameweka video fupi ya Mbwa akicheza muziki iliyoambatana na caption isemayo "Mimi nikisikiliza R9 mwenyewe na nikigoma kuiachia" mashabiki wamekuwa wakimpigia kelele kuhusu album hiyo ya 9 lakini Riri amekuwa bize na masuala ya Urembo na mitindo.


EmoticonEmoticon