Ronaldo Afunguka Baada Ya Kustaafu Soka Atahitaji Kufanya Jambo Gani

Cristiano Ronaldo
Mshambuliaji wa Juventus Cristiano Ronaldo anasema kuwa anataka kujaribu kuwa muigizaji mara baada ya kustaafu soka.

Alipoulizwa kama uigizaji unamvutia, Ronaldo alisema: The door is always open. “I am always available” as they say in English. ‘I am not thinking now about the end of my football career but it is always a possibility because I am used to it.’


EmoticonEmoticon