Utafiti umegundua
kwamba kuna idadi kubwa sana ya wanawake
na wanaume wanao sumbuliwa na tatizo
la kuwa na matumbo makubwa kiasi ama vitambi
kwa lugha nyingine.
Uchunguzi huo umewezasha kubaini kuwa katika watu kumi wanao tembea
bararani angalau watatu kati yao wanasumbuliwa na
tatizo la kitambi.
Sababu kuu za tatizo la kitambi ni pamoja na;
Sababu kuu za tatizo la kitambi ni pamoja na;
· Ulaji
mbovu wa vyakula ( Ulaji usio zingatia mlo kamili ).
· Ulaji
mbovu wa vyakula unajumuisha ulaji wa
vyakula vya aina moja kwa wingi kupita
kiasi bila kuzingatia aina nyinginezo, mfano
ulaji wa vyakula vya mafuta mafuta
kwa wingi kupita kiasi.
· Unywaji
wa pombe kupita kiasi
· Kutofanya
mazoezi ya mwili na viungo pamoja na
sababu nyinginezo.
Athari za tatizo la kitambi ni pamoja na :
· Kuwa
katika hatari ya kushambuliwa na magonjwa
ya hatari kama vile kisukari, moyo na presha.
· Kutokuwa
na uwezo wa kumudu tendo la ndoa (
kwa wanaume )
· Kupunguza
mvuto wa kimapenzi ( kwa wanawake na
hata wanaume pia )
· Kupoteza
fedha na muda mwingi katika kuhangaika
kutafuta tiba ya tatizo pamoja na
athari nyinginezo lukuki.
EmoticonEmoticon