Studio Na Makao Makuu Ya Kings Music Haya Hapa (PICHA)

Msanii AliKiba ametuonesha kile kilichoonekana kama mfano wa Studio na Makao Makuu ya Label yake, Kings Music Records.

Kupitia picha ambazo ameziweka kwenye akaunti yake ya instagram na ameambatanisha na ujumbe usemao 'Soon' yaani hivi karibuni.
EmoticonEmoticon