Takwimu Ya Nyimbo Zilizofanya Vizuri 2019 Kwa Mujibu Wa Boomplay Music Tanzania


App namba moja kwa huduma ya muziki barani Afrika, Boomplay imemtaja msanii Diamond Platnumz, kuwa ndio mwanamuziki aliyesikilizwa zaidi Tanzania, kulingana na taarifa rasmi za muziki mwaka 2019.Diamond Platnumz
Pia imetoa orodha ya nyimbo na Album zilizofanya vizuri kwa mwaka 2019 ikiangazia macho yake ndani ya Tanzania pekee wasikilizaji wamesikiliza kitu gani.
Top 10 Ya Wasanii Waliosikilizwa Sana Na Watanzania 2019Top 10 Tanzanian Artistes

Top 10 Wasanii Waliosikilizwa Sana na Afrika Ukitoa Tz 2019
Top 10 International Artistes

Wasanii wa Kimataifa Waliosikilizwa sana Bongo 2019
Top 10 International Artsit

Nyimbo Za Bongo Zilizosikilizwa Sana Na Watanzania 2019
Top 10 Tanzanian Songs

Nyimbo Zilizosikilizwa Sana Afrika ukitoa Tz 2019
Top 10 African Songs

Nyimbo za Kimataifa Zilizosikilizwa Sana Bongo 2019
Top 10 International Songs

Album 10 Za Bongo Zilizosikilizwa Zaidi 2019
Top 10 Tanzanian Album

Album Zilizosikilizwa Sana Afrika Ukitoa Bongo 2019Top 10 African Album

Album 10 Za Kimataifa Zilizosikilizwa Sana Bongo 2019
Top 10 International Album


EmoticonEmoticon