The Guardian Watoa Orodha Ya Nyimbo 10 Zilizosikilizwa Sana Afrika Kwa Mwaka 2019.Bongo Yatajwa

The Guardian African pop
Gazeti maarufu nchini Uingereza la The Guardian, limetoa orodha ya nyimbo 10 ambazo zimesikilizwa sana kutoka barani Afrika pia ambazo ni lazima uzisikilize lakini katika nyimbo hizo 10 kutoka katika mataifa ya Afrika Mashariki wimbo pekee ambao imejumuishwa katika nyimbo hizo 10 ni wimbo wa  TETEMA uliofanywa na msanii kutoka katika lebo ya WCB Rayvanny aliomshirikisha Diamond Platnumz kuwa ni miongoni mwa nyimbo 10 bora barani Afrika ambazo lazima uzisikilize kwa mwaka 2019. (2019 in African pop: 10 must-listen tracks)

Naira Marley – SoapyBig Tril – Parte After Parte


Teni – Power Rangers


Innoss’B – Yo Pe


Joeboy – BabyDJ Maphorisa – Amantombazane ft Kabza De Small, Samthing Soweto, MFR Souls


Burna Boy – Anybody


Sho Madjozi – John Cena


Rayvanny – Tettema ft Diamond


Davido – Risky ft Popcaan


EmoticonEmoticon