Watch/Download Yumba Video By Darassa Featuring Harmonize
Hascana amewakutanisha Darassa na Harmonize kwenye kichupa kikali cha Yumba ambacho amekitendea haki kukisimamia na kukiongoza. Ulishafikiri kwamba video itakuwa na ukali namna hii wakikutana hawa jamaa wawili (Harmonize & Darassa)? Majibu yapo chini baada ya kubonyeza Play.
DOWNLOAD VIDEO|MP4
DOWNLOAD AUDIO|MP3
EmoticonEmoticon