VIDEO | Ed Sheeran - Put It All On Me (feat. Ella Mai) [Official Video]

Put It All On Me Video By Ed Sheeran
Watch/Stream Put It All On Me Video By Ed Sheeran Featuring Alla Mai

Wimbo huu unapatikana ndani ya No.6 Collaboration Project ya Ed Sheeran na hii amemshirikisha mwanadada Ella Mai aliyefanya vizuri na ngoma yake ya Boot Up ambayo ndyo ilimfungulia milango ya kujulikana. Video imeongozwa na Jason Koenig


EmoticonEmoticon