VIDEO | Halsey - Finally / beautiful stranger (Official Video)

Watch/Stream Finally/Beautiful Stranger Video By Halsey 

Halsey ameileta video ya wimbo mpya Finally au Beautiful Stranger ambayo itapatikana kwenye album yake mpya ijayo, 'Manic' inayotegemewa kutoka January 17 mwakani. Video imeongozwa na Patrick Tracy


EmoticonEmoticon