VIDEO | The Weeknd - Heartless (Official Video)

Heartless Video By The Weeknd
Watch/Stream Heartless Video By The Weeknd 

Baada ya kukaa kimya kwa muda, Starboy The Weeknd amerudi upya kwa kishindo na kuachia ngoma mbili, Blinding Lights na Heartless ambayo video yake utapata nafasi ya kuitazama hapa. 

Ngoma zote mbili mpaka wakati huu zinafanya vizuri kwenye mauzo kupitia platfom za muziki. Anton Tammi ameongoza video hii.


EmoticonEmoticon