Vilabu Vitatu Vikubwa Vinaowataka Neymar, Mbappe Kwa Udi Na Uvumba

Mbappe & Neymar
Liverpool, Manchester City na Chelsea ni miongoni mwa timu sita zinazotaka kumsaini mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil na Paris St-Germain Neymar, 27, na mchezaji mwenzake Kylian Mbappe, 20.
Mbappe ambaye ni mshambuliaji wa Ufaransa hana mpango wa kusaini kandarasi mpya PSG mkataba wake wa sasa ukimalizika mwisho wa mwaka 2022.


EmoticonEmoticon