Wajinyonga Baada Ya kukopa Hela Za Harusi Yao, Walaumu Waalikwa Kuleta Maua Na Kadi

Wanandoa waliofahamika kwa majina ya Bw. Na Bi. Odipo wamejinyonga hadi kufa baada ya kudaiwa pesa walizokopa kwa ajili ya sherehe Yao ya harusi huko Kisumu nichini Kenya.

Wanandoa hao  wamejinyonga siku nne tu baada ya harusi yao kutokana na deni hilo ambalo ni zaidi ya TZS 179 million, ambapo zilitumika katika kulipia katika moja ya hotel ya kifahari nchini humo pamoja na kukodi helikopta.

Kabla ya vifo vyao wanandoa hao walionesha kutoridhika na muitikio wa waalikwa wa sherehe yao hasa kwa zawadi walizoleta ambazo nyingi zilikuwa ni kadi pamoja na maua. 

Wawili haO waliacha ujumble uliosomeka  ''We are embarrassed and ashamed that we could not start our new life in happiness because you people did not make us happy as we expected’'.


EmoticonEmoticon