50 Cent Apewa Heshima Ya Nyota Hollywood Walk of Fame, Eminem Atia Neno (VIDEO)

Dr Dre, 50 Cent & Eminem
Rapper na muigizaji wa Marekani, Curtis James Jackson III maarufu 50 Cent amefanikiwa kuungana na mastaa wengine duniani waliowahi kupatiwa heshima ya nyota ya Hollywood Walk of Fame.
Hall Of Fame 50 Cent
Kupata heshima ya nyota hiyo ni ndoto ya kila staa duniani kwa kuwa si kila mtu anaweza kupata nafasi hiyo, 50 Cent ametunukiwa heshima hiyo kufuatia mchango wake mkubwa kwenye muziki na filamu.
Nyota Ya Hall Of Fame 50 Cent
Kwenye hafla ya kukabidhiwa nyota yake, 50 aliongozana na washkaji zake Dr. Dre na Eminem. Wengine waliohudhulia ni pamoja na muigizaji wa tamthilia ya Power, La La Anthony, mtangazaji Ellen K, na mpenzi wake, Jamira Haines.

Tazama Speech Ya 50 Cent


Tazama Speech Ya Eminem


EmoticonEmoticon