Burna Boy Atamtimua Mama Yake Kazi Endapo Jambo Hili Litatendeka

Katika mahojiano ya msanii toka Nigeria Burna Boy na mtandao wa Rap radar amesema kuwa yeye lengo lake ni kufanikiwa zaidi katika muziki wake kwahiyo endapo akiona mambo hayaendi kama anavyotaka basi Mama yake ambaye ndiye kiongozi mkuu wa menejimenti yake anaweza kumfuta kazi na kumpa mtu mwingine mwenye maono makubwa zaidi.
” Mimi nataka kuona muziki wangu unasonga mbele zaidi nikiona mambo hayaendi naweza kumfuta kazi tu Mama yangu ambaye ndiye meneja wangu, lakini mpaka sasa Mama anafanya kazi kubwa sana hadi kufika hapa ni juhudi zake kwa asilimia kubwa”. Alisema Burna Boy


EmoticonEmoticon