Chuki Yaendelea Kumwandama Zlatan, Sanamu Yake Yakatwa

Sanamu la mshambuliaji wa klabu ya AC Milan Zlatan Ibrahimovic lililopo nje ya uwanja wa klabu yake ya zamani iliyomlea Malmo lakatwa hadi kuanguka chini.
Sanamu hiyo, ambayo ipo nje ya uwanja wa klabu ya Malmo huko chini  Sweden, hapo awali lilikatwa pua baada ya Ibrahimovic kuwekeza katika kilabu ambayo no  wapinzani mnamo wa Malmo Desemba. 
Uharibifu huo uligunduliwa saa 3.30 asubuhi wakati wa Jumapili, na kulikuwa na maneno ya kejeli namatusi” Ujumbe uliyoandikwa karibu na sanamu.


EmoticonEmoticon