Cristiano Ronaldo Auanza Mwaka Na Rekodi Mpya 2020. Alichokiandika

Cristiano Ronaldo
Staa wa kimataifa wa Ureno na club ya Juventus ya Italia Cristiano Ronaldo ameanza kuandika rekodi ndani ya Ligi Kuu Italia (Serie A) kama inavyokuwa kawaida yake.
CR7Ronaldo baada ya kufunga hat-trick katika ushindi wa jana wa Juventus wa magoli 4-0 dhidi ya Cagliari, umemfanya kufikisha jumla ya hat-trick ya 56 katika maisha yake ya soka.
CR7
Hata hivyo sio rekodi hiyo pekee aliyoiweka Ronaldo ila hat-trick hiyo inamfanya kuwa mchezaji wa kwanza kutokea Taifa la Ureno kuwahi kufunga hat-trick katika historia ya Serie A.
Cristiano amehisi huo ni mwanzo mzuri wa kufikia mafanikio yake katika mwaka 2020.Tazama post yake ya instagramCristiano Ronaldo Instagram Caption


EmoticonEmoticon