Eminem Amkalisha Rapa Kanye West Kwa Rekodi Bora Ya Muziki

Eminem & Kanye West
Eminem akaa kileleni kwa Kanye West, album yake "Music to Be Murdered By" imekamata namba 1 kwenye chati za Billboard 200 na kumfanya kufikisha album 10 kwenye historia ya chati hizo. 

Eminem ameipiku rekodi ya Kanye ambaye amebaki na album 9. Muisc to Be Murdered ilitoka Jan.17 na kwa mauzo ya week ya kwanza imefanikiwa kukamata nafasi ya kwanza kwenye chart kubwa ya Album bora 200 za Billboard.


EmoticonEmoticon