Hukumu Ya Kifungo Alichohukumiwa Kaka Yake Nicki Minaj Kimesikitisha Wengi

Kaka wa rapa Nicki Minaj ahukumiwa kifungo cha maisha jela Jumatatu hii, mara baada ya kukutwa na hatia katika kesi ya ubakaji iliyoanza kuunguruma tangu mwaka 2015.

Jelani (42), amekutwa na hatia hiyo ya kumbaka binti wa miaka 11 mwaka 2015 akiwa nyumbani kwake huko Long Island, Marekani.

Aidha ripoti zimeeleza, Jelani kupitia hukumu yake hiyo ataweza kupatiwa haki ya msamaha kwanza akishatumikia miaka 25 jela.


EmoticonEmoticon