Klabu 3 Zinazotaka Kumsajili Mbwana Samatta Msimu Huu

Mbwana Samatta
Brighton, Crystal Palace na Norwich wanataka kumsajili mshambuliaji wa Tanzania Mbwana Samatta, 27, kutoka klabu ya Genk ya Ubelgiji.

Kwengineko Inter Milan wamewasilisha dau la £20m kumnunua kiungo wa kati wa Tottenham na Denmark Christian Eriksen, 27, lakini mkufunzi wa klabu hiyo Antonio Conte angelipendelea kumsajili kiungo huyo wa kati wa Barcelona Arturo Vidal, 32.


EmoticonEmoticon