Kwa Mara Ya Kwanza Mbwana Samatta Afunguka Baada Ya Kujiunga Na Aston Villa (VIDEO)

Mbwana Samatta
Club ya Aston Villa imetangaza rasmi kumsajili nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta akitokea KRC Genk ya Ubelgiji kwa mkataba wa miaka minne na nusu.Mbwana Samatta
Samatta yupo Villa Park hadi (2024) kocha wa Aston Villa Dean Smith mapema leo akiongea na waandishi wa habari alisisitiza kuwa mchezaji huyo kila kitu kimekamilika bado vitu vidogo tu.Mbwana Samatta
Mbwana Samatta pia ameimwagia sifa club hiyo na kusema ndiyo club aliyokuwa akiitazamia kwa muda mrefu kwa kipindi cha nyuma.


EmoticonEmoticon