Lil Wayne Anatamani Sana Kufika Nchi Hii Hapa Afrika, Afunguka

Lil Wayne
Tayari tumewashuhudia mastaa wakubwa kutoka Marekani kama Future, Cardi B, Megan The Stallion na hata pia Steflon Don wakikitifua kwenye ardhi ya Nigeria kwa wakati tofauti tofauti.

Sasa mkongwe wa Rap, Dwayne Michael Carter Jr maarufu kama LilWayne pia ni miongoni mwa wasanii wanaotamani kutembelea taifa hilo la Magharibi mwa Afrika.

Kupitia mahojiano yake na kipindi cha American Eagle, Wizzy ameeleza kuwa anatamani kufika nchini humo lakini pia ameitaja nchi ya Misri.


EmoticonEmoticon