Luis Suarez Nje Kwa Muda Wa Miezi 4

Luis Suarez
Mshambulizi wa Barcelona Luis Suarez hatacheza kwa kipindi cha miezi minne baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti. 
Suarez alifanyiowa upasuaji kwenye goti lilo hilo mwishoni mwa msimu uliopita, amechezea Barcelona mechi 23 msimu huu na kufunga mabao 14.
Alicheza mechi nzima, Barca waliponyukwa mabao 3-2 na Atletico Madrid katika nusu fainali ya kombe la Uhispania siku ya ijumaa.


EmoticonEmoticon