Mo Dewji Hajajiuzulu, Athibitisha Kauli Yake Kwa Hili

Baada ya muwekezaji wa Simba Mo Dewji kutoa kauli tata ambayo alitangaza kujiuzulu kuwa mwenyekiti wa bodi ya klabu ya Simba baada ya matokeo ya Simba dhidi ya Mtibwa ambayo yalipelekea Simba kufungwa katika mchezo wa fainali kwa goli 1-0.
Baada ya kauli hiyo ya Jan 13 jana, leo Jan 14 asubuhi ametoa kauli nyingine kupitia akaunti yake ya twitter kuwa kilichotokea jana ni bahati mbaya.


EmoticonEmoticon