Mwenyekiti Wa Tume Nigeria Afunguka Kuhusiana Na Cardi B Kutaka Kuhamia Nigeria

Cardi B Na Mwanaye Kulture
Cardi B akaribishwa vizuri Nigeria na mwenyekiti wa tume ya Wa Nigeria waishio nje ya nchi. Kupitia Twitter ameandika milango ipo wazi na anakaribishwa.
Tweets
Cardi B aliahidi kuchukua Uraia wa nchi hiyo kutokana na sakata la kukosekana kwa amani nchini Marekani mara baada ya kuuawa Qasem Soleiman, kiongozi wa kikosi maalum cha Jeshi la Ulinzi chini Iran.


EmoticonEmoticon