Offset Ameanza Mwaka 2020 Kwa Million 480

Offset
Offset ameuanza mwaka 2020 kwa mguu wa kulia, ameripotiwa kukamilisha malipo ya madeni kiasi cha ($210,000) sawa na Tsh. milioni 480, umeripoti mtandao wa The Blast.

Mamlaka ya mapato mjini Georgia imelifunga faili la madeni dhidi ya rapper huyo wa kundi la Migos. Mwezi August mwaka Jana, Offset alituhumiwa kukwepa kodi kiasi hicho juu kuanzia mwaka 2017 deni ambalo limeongezeka kutokana na riba pamoja na faini za kuzidisha muda.


EmoticonEmoticon