Pambano La Floyd Mayweather Na Conor McGregor Kupigwa Tena Mwaka Huu 2020

Bondia Floyd Mayweather ametangaza pambano la marudiano na Conor McGregor kuwa litafanyika mwaka huu 2020. Kupitia instagram akaunti yake Floyd ameanika hilo kwa kuweka picha inayoonekana juu.

Kwa muda sasa Conor alikuwa akililia pambano la marudiano na Floyd tangu achezee kichapo kwa TKO raundi ya 10, August 26, 2017 kwenye pambano ambalo lilifahamika kama The Money Fight.


EmoticonEmoticon